0

Ndege-Maji Ufukweni

Mkusanyiko wa Hadithi kwa Vijana wa Afrika

Bibliografische Daten
ISBN/EAN: 9789987735747
Umfang: 257
Einband: Paperback

Beschreibung

A collection of African Young Adult Fiction in Kiswahili.

Hadithi hizi kutoka bara la kale zaidi duniani lenye idadi kubwa ya vijana zinahusu mambo mbalimbali toka yale ya njozi za Afrika nyingine inavyoweza kuwa; ushuhuda wa vijana kutoka vitani; siri ya kifo na maswali ya kila siku kuhusu familia, urafiki na ngono. Licha ya mawanda mapana ya mada, hadithi katika mkunsanyiko huu wa kwanza wa kihistoria wa Hadithi za Vijana wa Afrika zimesimuliwa kwa sauti ambayo kijana au yeyote aliyewahi kuwa kijana anaielewa. Ni sauti za uthubutu, wakati mwingine zimajaa mashaka, lakini daima zinaongelea ulimwengu unaowazunguka.